sw_tn/2co/07/01.md

21 lines
427 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Paulo anaendelea kuwakumbusha wao kujitenga na dhambi na kutafuta utakatifu kwa makusudi.
# Wapendwa wangu
"ninyi niwapendao" au rafiki wapenzi"
# na tujitakase wenyewe
Katika sentensi hii Paulo anasema kujitenga mbali na dhambi ambayo yaweza kuathiri uhusiano wa kila mtu na Mungu.
# Na tuutafute utakatifu
"na tujitahidi kuwa watakatifu"
# katika hofu ya Mungu
"katika hofu ya ndani kwa Mungu"