sw_tn/2co/07/01.md

427 B

Sentensi Unganishi

Paulo anaendelea kuwakumbusha wao kujitenga na dhambi na kutafuta utakatifu kwa makusudi.

Wapendwa wangu

"ninyi niwapendao" au rafiki wapenzi"

na tujitakase wenyewe

Katika sentensi hii Paulo anasema kujitenga mbali na dhambi ambayo yaweza kuathiri uhusiano wa kila mtu na Mungu.

Na tuutafute utakatifu

"na tujitahidi kuwa watakatifu"

katika hofu ya Mungu

"katika hofu ya ndani kwa Mungu"