forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
1.1 KiB
Markdown
29 lines
1.1 KiB
Markdown
# Sentensi Unganishi
|
|
|
|
Paulo anazidi kuitofautisha miili ya duniani ya waamini na ile ya mbinguni ambayo Mungu atawapa.
|
|
|
|
# kam maskani ya ulimwenguni ambayo tunaishi humo yanaharibiwa, tunalo jengo kutoka kwa Mungu.
|
|
|
|
Paulo anazungumzia mwili wake unaoonekana ni kama ulikuwa wa muda "makao ya duniani" na ya ufufuo wa mwili Mungu atatoa kama vile miili ya kudumu " jengo"
|
|
|
|
# Ni nyumba isiyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu
|
|
|
|
Hii ina maanisha " jengo kutoka kwa Mungu" Hii inaweza kuelezwa ka jinsi hii. " ni nyumba ambayo haikutengenezwa na wanandamu"
|
|
|
|
# katika hema hii tunaugua
|
|
|
|
Neno "hema" linaelezea " makao ya duniani ambayo tunaishi." Neno tunaugua ni sauti ya mtu anayoitoa pindi wanapokuwa wanatamani kuwa na kitu fulani ambacho ni kizuri.
|
|
|
|
# tukitamani kuvikwa kwa maskani yetu mbinguni
|
|
|
|
Maneno " makao yetu ya mbinguni" yana maanisha "jengo kutoka kwa Mungu." Paulo anazungumzia ufufuo wa mwili kama vile ulikuwa pamoja jengo na kipande cha nguo ambacho mtu anaweza kuvaa.
|
|
|
|
# kwa kuivaa
|
|
|
|
"kwa kuivaa makao yetu ya mbinguni"
|
|
|
|
# hatutaonekana kuwa tu uchi.
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii: "hatutakuwa uchi" au "Mungu hatatukuta tukiwa uchi"
|
|
|