sw_tn/2co/05/01.md

1.1 KiB

Sentensi Unganishi

Paulo anazidi kuitofautisha miili ya duniani ya waamini na ile ya mbinguni ambayo Mungu atawapa.

kam maskani ya ulimwenguni ambayo tunaishi humo yanaharibiwa, tunalo jengo kutoka kwa Mungu.

Paulo anazungumzia mwili wake unaoonekana ni kama ulikuwa wa muda "makao ya duniani" na ya ufufuo wa mwili Mungu atatoa kama vile miili ya kudumu " jengo"

Ni nyumba isiyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu

Hii ina maanisha " jengo kutoka kwa Mungu" Hii inaweza kuelezwa ka jinsi hii. " ni nyumba ambayo haikutengenezwa na wanandamu"

katika hema hii tunaugua

Neno "hema" linaelezea " makao ya duniani ambayo tunaishi." Neno tunaugua ni sauti ya mtu anayoitoa pindi wanapokuwa wanatamani kuwa na kitu fulani ambacho ni kizuri.

tukitamani kuvikwa kwa maskani yetu mbinguni

Maneno " makao yetu ya mbinguni" yana maanisha "jengo kutoka kwa Mungu." Paulo anazungumzia ufufuo wa mwili kama vile ulikuwa pamoja jengo na kipande cha nguo ambacho mtu anaweza kuvaa.

kwa kuivaa

"kwa kuivaa makao yetu ya mbinguni"

hatutaonekana kuwa tu uchi.

Hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii: "hatutakuwa uchi" au "Mungu hatatukuta tukiwa uchi"