forked from WA-Catalog/sw_tn
53 lines
1.6 KiB
Markdown
53 lines
1.6 KiB
Markdown
# Sentensi Unganishi
|
|
|
|
Paulo anawakumbusha kuwa hajisifu kwa vile anavyowaambia kuhusu kile alichokifanya kuhusu Kristo.
|
|
|
|
# Tunaanza kujisifu wenyewe tena ?
|
|
|
|
" Hatujaanza kujisifu wenyewe tena"
|
|
|
|
# hatuhitaji barua za utambulisho kwenu au kutoka kwenu, kama watu wengine, tunafanya hivyo?
|
|
|
|
"Kwa hakika hatuhitaji barua za uthibitisho kwenu au kutoka kwenu, kama watu wengine wanavyofanya"
|
|
|
|
# Barua za uthibitisho
|
|
|
|
Hii ni barua mtu huandika kujitambulisha na kutoa uthibitisho wa mtu mwingine.
|
|
|
|
# Ninyi wenyewe ni barua yetu ya utambulisho wetu
|
|
|
|
Ninyi wenyewe ni sawa na barua ya utambulisho wetu"
|
|
|
|
# Imeandikwa ndani ya mioyoni mwetu
|
|
|
|
"ambayo Kristo ameiandika mioyoni mwetu"
|
|
|
|
# imejulikana na kusomwa na watu wote
|
|
|
|
"ambayo watu wote wanaweza kuifahamu na kuisoma"
|
|
|
|
# ninyi ni barua kutoka kwa Kristo
|
|
|
|
" ninyi ni barua ambayo Kristo ameiandika"
|
|
|
|
# imetolewa na sisi
|
|
|
|
"ambayo tuliitoa"
|
|
|
|
# Imeandikwa siyo kwa wino...katika vibao vya mioyo ya watu
|
|
|
|
Paulo anafafanua kwamba Wakorintho ni sawa na barua ya kiroho, siyo sawa na barua ambayo wanandamu huandika kwa vifaa vinavoonekana.
|
|
|
|
# Imeandikwa si kwa wino...bali kwa roho wa Mungu anyeishi
|
|
|
|
"siyo barua ambayo watu huandika kwa wino, bali ni barua ambayo imeandikwa na Mungu anayeishi"
|
|
|
|
# Haikuandikwa juu ya mbao za mawe, bali imeandikwa juu ya mbao za mioyo ya wanadamu
|
|
|
|
"siyo barua ambayo watu huchonga juu ya mbao za mawe bali ni barua ambayo Roho wa Mungu anayeishi ameiandika juu ya mbao za mioyo ya watu"
|
|
|
|
# mbao za mioyo ya watu
|
|
|
|
Paulo anazungumza kuhusu mioyo yao ambayo imekuwa kama vipande bapa vya mawe au udongo wa mfinyanzi juu yake watu wamechora barua.
|
|
|