forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
927 B
Markdown
29 lines
927 B
Markdown
# Lakini kwa habari ya wajane vijana, kataa kuwaandikisha katika orodha
|
|
|
|
"Lakini msiwaweke wajane vijana kwenye orodha." Orodha ni ya wajane wenye umri wa miaka 60 na zaidi ambao jumuiya ya kikristo ingesaidia.
|
|
|
|
# Kwa kuwa watakaposhindwa na tamaa ya mwili dhidi ya Kristo, watataka kuoa
|
|
|
|
"ni aliwasihi kutoka kwa Kristo kwa sababu ya tamaa zao za ngono" au "kuwa na tamaa ya mwili inayowafanya watake kutoa dhamira yao ya kiroho"
|
|
|
|
# kutengua ahadi yao ya awali
|
|
|
|
"wala hawaweki ahadi zao za awali" au "kutokufanya walicho ahidi kukifanya kabla"
|
|
|
|
# dhamira
|
|
|
|
dhamira ya wajane ilikuwa ni makubaliano yao ya kutumikia jumuiya ya kikristo kwa ajili ya mapumziko ya maisha yao kama jamii angewapa mahitaji yao.
|
|
|
|
# kusengenya
|
|
|
|
Hawa ni watu ambao hujadili juu ya maisha binafsi ya watu wengine.
|
|
|
|
# mambo wasio paswa kusema
|
|
|
|
"mambo ambayo si sahihi hata kutaja"
|
|
|
|
# kuwa wamezoea kuwa wavivu
|
|
|
|
"kuingia katika tabia ya kutokufanya kitu
|
|
|