sw_tn/1sa/14/06.md

25 lines
446 B
Markdown

# kijana mbeba silaha wake
Kijana mdogo aliyekuwa na jukumu la kubeba silaha za bwana wake kwa ajili ya vita.
# wasiotahiriwa
Hili ni neno lililotumika kuwaelezea watu ambao hawakuwa Wayahudi.
# atatenda kwa niaba yetu
"atatusaidia"
# hakuna kitu kiwezacho kumzuia Bwana asiokoe
"Bwana anaweza kuokoa"
# kwa wengi au kwa watu wachache
"Kwa idadi yoyote ya watu"
# kila kitu kilicho ndani ya moyo wako
"kila kitu unachotamani kufanya"