# kijana mbeba silaha wake Kijana mdogo aliyekuwa na jukumu la kubeba silaha za bwana wake kwa ajili ya vita. # wasiotahiriwa Hili ni neno lililotumika kuwaelezea watu ambao hawakuwa Wayahudi. # atatenda kwa niaba yetu "atatusaidia" # hakuna kitu kiwezacho kumzuia Bwana asiokoe "Bwana anaweza kuokoa" # kwa wengi au kwa watu wachache "Kwa idadi yoyote ya watu" # kila kitu kilicho ndani ya moyo wako "kila kitu unachotamani kufanya"