forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
588 B
Markdown
21 lines
588 B
Markdown
# Mwisho wa mambo yote unakuja
|
|
|
|
"Karibuni Yesu atarudu na kukomesha mambo yote katika dunia hii
|
|
|
|
# mwe na ufahamu ulio sahihi, na mwe na nia njema katika kufikiri kwenu
|
|
|
|
Maneno yote haya mawili yana maana ya jambo moja. Petro anayatumia kufafanua hitaji la kutafakari juu ya maisha wakati ukikaribia kuisha.
|
|
|
|
# kufikiri kwenu
|
|
|
|
Neno linaelezea waumini wote
|
|
|
|
# kwa kuwa upendo hautafuti kufunua dhambi za wengine
|
|
|
|
Petro anaelezea "upendo" kama vile mtu. Mtu anapopenda wengine hawatafanya juhudi kutafuta kama mwingine ametenda dhambi.
|
|
|
|
# ukarimu
|
|
|
|
kuonyesha ukarimu kwa wageni na wasafiri
|
|
|