sw_tn/1pe/04/07.md

588 B

Mwisho wa mambo yote unakuja

"Karibuni Yesu atarudu na kukomesha mambo yote katika dunia hii

mwe na ufahamu ulio sahihi, na mwe na nia njema katika kufikiri kwenu

Maneno yote haya mawili yana maana ya jambo moja. Petro anayatumia kufafanua hitaji la kutafakari juu ya maisha wakati ukikaribia kuisha.

kufikiri kwenu

Neno linaelezea waumini wote

kwa kuwa upendo hautafuti kufunua dhambi za wengine

Petro anaelezea "upendo" kama vile mtu. Mtu anapopenda wengine hawatafanya juhudi kutafuta kama mwingine ametenda dhambi.

ukarimu

kuonyesha ukarimu kwa wageni na wasafiri