forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
1.0 KiB
Markdown
29 lines
1.0 KiB
Markdown
# Angalia ni pendo la namna gani ametupatia Baba.
|
|
|
|
"Fikiria kuhusu kiasi gani Baba yetu anavyotupenda sisi."
|
|
|
|
# Sisi...Tu.
|
|
|
|
Katika 3:1-3 viwakilishi nomino hivi, humtaja Yohana, wasikilizaji wake, na waumini wote.
|
|
|
|
# Lazima tuitwe watoto wa Mungu.
|
|
|
|
Hii inaweza kutafsiriwa kwa kitenzi tendaji: "Baba lazima atuite sisi watoto wake."
|
|
|
|
# Watoto.
|
|
|
|
Hapa hii inamaanisha watu wa Mungu kwa imani katika Yesu.
|
|
|
|
# Ulimwengu haututambui, kwa sababu hakumtambua Yeye.
|
|
|
|
Hapa "ulimwengu" humaanisha watu ambao hawamheshimu Mungu. Kile ambacho ulimwengu haukijui, hakiwezi kufanywa dhahili: Wale ambao hawamheshimu Mungu, hawajui kwamba sisi ni wa Mungu, kwa sababu hawakumjua Mungu.
|
|
|
|
# Haijadhihirika bado.
|
|
|
|
Hii inaweza kutafsiriwa kwa kitenzi tendaji: "Mungu hajadhihirisha."
|
|
|
|
# Na kila mtu ambaye ana ujasiri huu kuhusu wakati ujao ulioelekezwa kwake, hujitakasa mwenyewe kama yeye alivyo mtakatifu.
|
|
|
|
"Kila mtu ambaye anatarajia kwa ujasiri kumuona Kristo kama alivyo, ataendelea kujitakasa mwenyewe kwa sababu Kristo ni mtakatifu."
|
|
|