sw_tn/1jn/01/03.md

25 lines
640 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Hapa maneno "tu...," "nasi" na "yetu" humaanisha Yohana na wale ambao wamekuwa pamoja na Yesu.
# Lile ambalo tumeliona na kulisikia twalitangaza pia kwenu
Tunawaambieni pia nanyi tuliloliona na kulisikia"
# muwe na ushirika pamoja nasi. Ushirika wetu ni pamoja na Baba
"muwe rafiki zetu wakaribu. Tu marafiki wa Mungu Baba"
# Ushirika wetu
Hako wazi kama Yohana anawaingiza ama anawaacha wasomaji wake.
# Baba...Mwana
Hivi ni vyeo muhimu vinavyoelezea uhusiano ulioko baina ya Mungu na Yesu.
# ili kwamba furaha yetu iwe kamili.
"kuifanya furaha yetu ikamilike" au kutufanya sisi tufurahi kikamilifu kabisa"