# Maelezo ya Jumla Hapa maneno "tu...," "nasi" na "yetu" humaanisha Yohana na wale ambao wamekuwa pamoja na Yesu. # Lile ambalo tumeliona na kulisikia twalitangaza pia kwenu Tunawaambieni pia nanyi tuliloliona na kulisikia" # muwe na ushirika pamoja nasi. Ushirika wetu ni pamoja na Baba "muwe rafiki zetu wakaribu. Tu marafiki wa Mungu Baba" # Ushirika wetu Hako wazi kama Yohana anawaingiza ama anawaacha wasomaji wake. # Baba...Mwana Hivi ni vyeo muhimu vinavyoelezea uhusiano ulioko baina ya Mungu na Yesu. # ili kwamba furaha yetu iwe kamili. "kuifanya furaha yetu ikamilike" au kutufanya sisi tufurahi kikamilifu kabisa"