sw_tn/1co/15/37.md

17 lines
428 B
Markdown

# kile ulichopanda sio mwili utakaokuwa
Fumbo la mbegu limetumika tena, kumaanisha kwamba mwili wa mkristo uliokufa utafufuliwa na hautaonekana kama ulivyokuwa.
# unachopanda
Paulo anaongea na Wakorintho kana kwamba ni mtu mmoja " unachopanda"
# Mungu ataipa mwili kama apendavyo
"Mungu ataamua ni mwili wa aina gani"
# mwili
Katika mazingira ya wanyama, "mwili" unaweza kutafasiliwa kama "mwili," "ngozi," au "nyama."