sw_tn/1co/14/39.md

9 lines
428 B
Markdown

# msimkateze mtu yeyote kunena kwa lugha
Paulo anaweka wazi kuwa kuongea kwa lugha kanisani inawezekana na inakubalika
# Lakini mambo yote yatendeke kwa uzuri na kwa utaratibu
Paulo anasisistiza kwamba makusanyiko ya kanisa( waumini) lazima yafanyike katika utaratibu mzuri. kwa maneno mengine " lakini fanyeni mambo yote kwa uzuri na katika utaratibu" au " lakini fanyeni kila kitu kwa utaratibu mzuri, kwa njia inayofaa"