# msimkateze mtu yeyote kunena kwa lugha Paulo anaweka wazi kuwa kuongea kwa lugha kanisani inawezekana na inakubalika # Lakini mambo yote yatendeke kwa uzuri na kwa utaratibu Paulo anasisistiza kwamba makusanyiko ya kanisa( waumini) lazima yafanyike katika utaratibu mzuri. kwa maneno mengine " lakini fanyeni mambo yote kwa uzuri na katika utaratibu" au " lakini fanyeni kila kitu kwa utaratibu mzuri, kwa njia inayofaa"