sw_tn/1co/14/07.md

9 lines
301 B
Markdown

# visipotoa sauti zilizo na tofauti
Hii inareje sauti tofauti tofauti zinazotokana na midundo inayotoa tuni, haimaani tofauti kati ya sauti ya filimbi na kinubi tu.
# itatambulikanaje ni chombo gani kinachezwa
Kwa maneno mengine " hakuna mtu atakaye tambua tuni ya filimbi au kinubi kinapogigwa"