# visipotoa sauti zilizo na tofauti Hii inareje sauti tofauti tofauti zinazotokana na midundo inayotoa tuni, haimaani tofauti kati ya sauti ya filimbi na kinubi tu. # itatambulikanaje ni chombo gani kinachezwa Kwa maneno mengine " hakuna mtu atakaye tambua tuni ya filimbi au kinubi kinapogigwa"