sw_tn/1co/09/01.md

25 lines
786 B
Markdown

# Sentensi Unganisha
Paulo anaelezea anavyotumia uhuru wake katika Kristo
# mimi si huru?
Paulo anatumia swali kuwakumbusha Wakorintho juu ya haki alizo nazo. " mimi ni mtu niliye huru."
# Mimi si mtume?
Paulo anatumia swali hili kuwakumbusha Wakoritho juu ya vile alivyo na haki aliyo nayo. "Mimi ni mtume."
# Mimi sikumwona Yesu Bwana wetu?
Paulo anatumia swali hili kuwakumbusha Wakoritho juu ya vile alivyo. "Nimemuona Yesu Bwana wetu."
# Ninyi si matunda ya Kazi yangu katika Bwana?
Paulo anatumia swali hili kuwakumbusha Wakoritho juu ya uhusiano wao kwakwe. "Imani yenu katika Kristo ni matokeo ya kazi yangu katika Bwana."
# ninyi ni uthibitisho wa utume wangu katika Bwana.
" ninyi ni kielelzo ambao naweza kutumia kuthibitisha kuwa Bwana amenichagua kuwa mtume "