sw_tn/1co/07/intro.md

1.1 KiB

1 Wakorintho 07 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Paulo anaanza kujibu mfululizo wa maswali ambayo Wakorintho wanaweza kumwuliza. Swali la kwanza ni kuhusu ndoa. Swali la pili ni kuhusu mtumwa akijaribu kuwa huru, asiye Myahudi kuwa Myahudi, au Myahudi kuwa asiye Myahudi.

Dhana maalum katika sura hii

Talaka

Paulo anasema Wakristo walio katika ndoa hawapaswi kutaliki. Mkristo aliyeolewa na asiyeamini hapaswi kuacha mume au mke wake. Ikiwa mume au mke asiyeamini anaondoka, hii sio dhambi. Paulo anashauri kwamba, kwa sababu ya nyakati ngumu na kuwa muda ambapo Yesu atarudi umekaribia, inakubalika kutoolewa. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/believe]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/sin)

Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii

Maneno ya rahisi ya kupunguza uzito

Paulo anatumia maneno ya rahisi ya kupunguza uzito kwa busara kutaja mahusiano ya ngono. Hii mara nyingi hii ni mada nyeti. Tamaduni nyingi hazitaki kuzungumza waziwazi kuhusu mambo haya. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-euphemism)

<< | >>