sw_tn/1co/05/intro.md

1.5 KiB

1 Wakorintho 05 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Baadhi ya tafsiri huweka nukuu kutoka kwa Agano la Kale upande wa kulia zaidi kwenye ukurasa ili iwe rahisi kusoma. ULB inafanya hivyo kwa maneno yaliyotajwa kwenye mstari wa 13.

Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii

Maneno ya badla ya kupunguza uzito

Paulo anatumia maneno ya rahisi ya kupunguza uzito kuelezea mada nyeti. Sura hii inahusika na uasherati wa kijinsia wa mwanachama mmoja wa kanisa. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-euphemism]] and [[rc://en/tw/dict/bible/other/fornication)

Mfano

Paulo anatumia ulinganisho uliopanuliwa kwa kutumia sitiari nyingi. Chachu inawakilisha uovu. Mkate labda inawakilisha kanisa nzima. Mikate isiyotiwa chachu inawakilisha kuishi kwa utakatifu. Basi kifungu hiki kina maana: Je, hujui kwamba uovu mdogo utaathiri kanisa lote? Hivyo basi uondoe uovu huu ili uweze kuishi kwa utakatifu. Kristo ametolewa kama sadaka kwa ajili yetu. Kwa hiyo tuwe waaminifu na wa kweli na sio waovu na wanaofanya mabaya. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor]], rc://en/tw/dict/bible/kt/evil, rc://en/tw/dict/bible/kt/unleavenedbread and rc://en/tw/dict/bible/kt/purify and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/passover)

Maswali ya uhuishaji

Paulo anatumia maswali ya uhuishaji katika sura hii. Anayatumia ili kusisitiza maneno muhimu anapofundisha Wakorintho. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-rquestion)

<< | >>