sw_tn/zep/03/08.md

24 lines
706 B
Markdown

# Tamko la Yahweh
Hii inamaanisha Yahweh amesema kwa makini.
# Inuka kwa waathirika
"Inuka kuangamiza waathirika"
# kuyakusanya mataifa, kuzikusanya falme
Maneno haya mawili yanamaanisha kitu sawa na kusisitiza kwamba Yahweh atayahukumu mataifa yote.
# hasira yangu, ghadhabu yangu kali yote
Maneno "hasira" na "ghadhabu kali" kimsingi ina maana sawa na inasisitiza kiwango cha hasira ya Yahweh. "hasira yangu kali."
# hivyo nchi yote itakuwa imemezwa kwa moto wa hasira yangu
Maneno haya yanaweza kuelezewa kwa mfumo wa kitendo. "kwa hiyo moto wa hasira yangu utameza nchi yote."
# kuteketezwa kwa moto wa hasira yangu
Hasira hapa imesemwa kama kutakuwa na moto ambao utateketeza kitu fulani.