forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
388 B
Markdown
12 lines
388 B
Markdown
# Wakuu wao ni simba waungurumao katikati yao
|
|
|
|
"Viongozi wa Yerusalemu ni wenye vurugu"
|
|
|
|
# Majaji wao ni mbwa mwitu wa jioni wasiobakiza chochote ambacho kitakuwa kimetafunwa mpaka asubuhi
|
|
|
|
"Majaji wao ni watu waovu ambao huchukua vitu ambavyo ni mali za wengine." Hii pia ni mfano.
|
|
|
|
# Manabii wao ni wadhulumaji na wanaume wahaini."
|
|
|
|
"Manabii wao siowatii na wanaume wasio waaminifu."
|