sw_tn/zep/01/01.md

12 lines
343 B
Markdown

# neno la Yahweh lililokuja
"neno ambalo Yahweh Mungu alilisema"
# Nitaangamiza kabisa kila kitu kutoka usoni mwa dunia...Nitamkata mwanadamu kutoka katika uso wa dunia
Haya ni makusudi kwa ukuzaji wa Yahweh kueleza hasira yake kwa dhambi za watu.
# Kukata
Kuangamiza limezungumzwa kama kilikuwa kikikatwa kitu fulani kutoka mahali pake.