sw_tn/zec/14/16.md

12 lines
228 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Mistari hii inaelezea vita ya mwisho kwa mji wa Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa
# akaenda kinyume cha Yerusalemu
"Iliyoishambulia Yerusalemu"
# itashambulia mataifa
"itaadhibu mataifa kwa ukali"