# Maelezo ya Jumla: Mistari hii inaelezea vita ya mwisho kwa mji wa Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa # akaenda kinyume cha Yerusalemu "Iliyoishambulia Yerusalemu" # itashambulia mataifa "itaadhibu mataifa kwa ukali"