sw_tn/zec/14/14.md

16 lines
330 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Mistari hii inaelezea vita ya mwisho kwa mji wa Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa.
# Yuda atapigana pia na Yerusalemu.
Baadhi ya matoleo yanasomeka, "Yuda pia atapigana kwa ajili ya Yerusalemu." Nakala ya Kiebrania haiko wazi.
# Watakusanya utajiri
"Watateka mali"
# kwa wingi
"kwa kiwango kungi"