# Maelezo ya Jumla: Mistari hii inaelezea vita ya mwisho kwa mji wa Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa. # Yuda atapigana pia na Yerusalemu. Baadhi ya matoleo yanasomeka, "Yuda pia atapigana kwa ajili ya Yerusalemu." Nakala ya Kiebrania haiko wazi. # Watakusanya utajiri "Watateka mali" # kwa wingi "kwa kiwango kungi"