sw_tn/zec/12/01.md

36 lines
805 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Mistari hii inaanza sehemu inayozungumzia shambulio lijalo dhidi ya Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa mji.
# tamko la neno la Yahwe
Kifungu hiki mara kwa mara kinafasiriwa kama "asema Yahwe" Kifungu hiki kimetumika mara nyingi katika kitabu cha Zakaria.
# azitandaye mbingu
"aliyeumba anga"
# kuweka msingi wa dunia
"kuiweka dunia yote mahali pake"
# aiumbaye roho ya mtu ndani yake
"aliumba roho ya mtu"
# kikombe
"kikombe cha kitu cha kunywa"
# kiwafadhaishacho watu wote wamzungukao
Hii ni, kinywaji ni pombe itakayowafanya majeshi wanaoishambulia Yerusalemu kulewa na kushindwa kupigana.
# yeye
Huo ni, mji wa Yerusalemu. Ilikuwa kawaida kwa kiebrania kuzungumzia mji au nchi kama ni mwanamke.
# jiwe zito kwa watu wa jamaa zot
"kisichowezekana kuondolewa"