forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
571 B
Markdown
24 lines
571 B
Markdown
# Hili ni tamko la neno la Yahwe kuhusu
|
|
|
|
"Huu ni ujumbe wa Yahwe kuhusu"
|
|
|
|
# Nchi ya Hadraki na Dameski
|
|
|
|
"Watu wa nchi ya Hadraki na mji wa Dameski
|
|
|
|
# Kwa maana jicho la Yahwe lipo juu ya watu wote
|
|
|
|
"Maana Yahwe anamwangalia kila mtu" Lakini, matoleo mengi ya kisasa yanafasiri kifungu hiki kama "macho ya watu" na ya wale wa makabila yote ya Israeli yanamwangalia Yahwe."
|
|
|
|
# Hamathi
|
|
|
|
"Watu wa nchi ya Hamathi"
|
|
|
|
# Tiro na Sidoni
|
|
|
|
"Watu wa Tiro na Sidoni"
|
|
|
|
# japokuwa ni wenye hekima sana
|
|
|
|
Pengine Zakaria hakumaanisha hakika kwamba watu wa Hamathi walikuwa wenye hekima.
|