sw_tn/zec/06/12.md

20 lines
486 B
Markdown

# Kuongea naye na kusema
"Yahwe alimwambia malaika ili aongee na Zakaria na kusema"
# jina lake ni tawi
Malaika wa Yahwe anampa jina hili Yoshua mfalme mpya.
# atakuwa
Kifungu "kukua" ni neno la picha la tawi kuanza kuchipua.
# kuinua utukufu wake
Maana pendekezwa: 1) "kuongeza utukufu wa hekalu" au 2)"inua na kuvaa utukufu wa hekalu yeye mwenyewe kama mtu angeweza kuvaa nguo"
# ufahamu wa amani utakuwa kati ya vyote viwili
"wajibu wake wa mfalme na kuhani utaunganishwa."