# Kuongea naye na kusema "Yahwe alimwambia malaika ili aongee na Zakaria na kusema" # jina lake ni tawi Malaika wa Yahwe anampa jina hili Yoshua mfalme mpya. # atakuwa Kifungu "kukua" ni neno la picha la tawi kuanza kuchipua. # kuinua utukufu wake Maana pendekezwa: 1) "kuongeza utukufu wa hekalu" au 2)"inua na kuvaa utukufu wa hekalu yeye mwenyewe kama mtu angeweza kuvaa nguo" # ufahamu wa amani utakuwa kati ya vyote viwili "wajibu wake wa mfalme na kuhani utaunganishwa."