forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
996 B
Markdown
36 lines
996 B
Markdown
# Taarifa ya Kuunganisha:
|
|
|
|
Malaika alinayeongea na Zakaria anaendelea kuelezea ono
|
|
|
|
# Neno la Yahwe lilikuja
|
|
|
|
"Yahwe alisema neno lake"
|
|
|
|
# Mikono ya Zerubabeli... mikono yake itaimaliza
|
|
|
|
Zerubabeli anasimamia ujenzi wa hekalu. Kujenga kunatajwa kama "mikono yake" japokuwa yawezekana mikono yake isiweke mawe.
|
|
|
|
# kuweka msingi
|
|
|
|
Msingi ni chanzo cha jengo na sehemu ya kwanza ya mradi wa ujenzi.
|
|
|
|
# Ni nani aliyezarau... mambo madogo?
|
|
|
|
Swali hili haliitaji jibu ila linawaambia wasizarau "siku ya mambo madogo."
|
|
|
|
# siku ya mambo madogo
|
|
|
|
Kifungu hiki ni jina kwa ajili ya wakati ambapo kila siku kazi rahisi zilifanywa. Muda wote wa ujenzi wa jengo unatajwa kama siku moja japokuwa ilichukua miaka kadhaa kukamilika.
|
|
|
|
# Jiwe la kupimia
|
|
|
|
Jiwe linalounganishwa na kamba. Linatumika kuamua kama kuta za jengo zimenyooka au hapana.
|
|
|
|
# taa saba ni macho ya Yahwe
|
|
|
|
Hizi taa saba ni alama za macho ya Yahwe.
|
|
|
|
# macho ya Yahwe
|
|
|
|
Neno "macho" linamtaja Mungu akiona kwa sababu macho hutumika kwa kuona.
|