sw_tn/zec/03/06.md

16 lines
292 B
Markdown

# alimwagiza Yoshua kwa dhati
"alimwagiza Yoshua katika hali ya kuzingatia kwa dhati"
# takwenda katika njia zangu
Inamaanisha kutembea katika mapenzi yake.
# kama mtatunza maagizo yangu
"ikiwa mtakumbuka na kutii maagizo yangu"
# linda nyua zangu
"kuwajibika kwa maeneo yake maalumu"