# alimwagiza Yoshua kwa dhati "alimwagiza Yoshua katika hali ya kuzingatia kwa dhati" # takwenda katika njia zangu Inamaanisha kutembea katika mapenzi yake. # kama mtatunza maagizo yangu "ikiwa mtakumbuka na kutii maagizo yangu" # linda nyua zangu "kuwajibika kwa maeneo yake maalumu"