sw_tn/zec/02/01.md

16 lines
256 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Zakaria anaendelea kuelezea maono yake.
# Niliinua macho yangu
"Nilitazama juu"
# kipimo cha kupimia
kamba yenye urefu fulani inayotumika kwa kupima vitu vikubwa.
# Hivyo aliniambia
"Hivyo mtu mwenye kamba ya kupimia aliniambia"