# Maelezo ya Jumla: Zakaria anaendelea kuelezea maono yake. # Niliinua macho yangu "Nilitazama juu" # kipimo cha kupimia kamba yenye urefu fulani inayotumika kwa kupima vitu vikubwa. # Hivyo aliniambia "Hivyo mtu mwenye kamba ya kupimia aliniambia"