sw_tn/tit/03/15.md

16 lines
405 B
Markdown

# maelezo ya jumla
Paulo anahitimisha barua yake kwa Tito.
# wote walio
"Watu wote"
# wale watupendao katika imani
Maana zinazokubalika hapa ni 1) Waumini wanaotupenda au 2) Waumini wanaotupenda kwasababu tunashiriki imani moja.
# Neema na iwe nanyi nyote
Hii ilikuwa ni salamu ya kawaida ya kikristo. "Neema ya Mungu na iwe pamoja nanyi" au "Ninamwomba Mungu awe mwenye neema kwenu ninyi nyote."