# maelezo ya jumla Paulo anahitimisha barua yake kwa Tito. # wote walio "Watu wote" # wale watupendao katika imani Maana zinazokubalika hapa ni 1) Waumini wanaotupenda au 2) Waumini wanaotupenda kwasababu tunashiriki imani moja. # Neema na iwe nanyi nyote Hii ilikuwa ni salamu ya kawaida ya kikristo. "Neema ya Mungu na iwe pamoja nanyi" au "Ninamwomba Mungu awe mwenye neema kwenu ninyi nyote."