sw_tn/tit/03/14.md

20 lines
530 B
Markdown

# Sentensi kiunganishi:
Paulo anafafanua kwanini ni muhimu wa kuwatoa akina Zena na Apolo.
# watu wetu
Paulo alikuwa anawarejelea waumini wa Krete.
# kujishughulisha wenyewe katika
"washughulike kufanya"
# mahitaji muhimu
Haya ni mahitaji ya ambayo yalikuwa hayakupangwa na ya haraka ambayo yalikuwa hayajulikani hapo awali.
# ili kwamba wasiweze kuwa wasiozaa matunda
Paulo anaongelea watu ambao hufanya matendo mazuri kama mimea inayozaa matunda ya kula. "ili waweze kuzaa matunda" au "ili maisha yao yawe na maana."