# Sentensi kiunganishi: Paulo anafafanua kwanini ni muhimu wa kuwatoa akina Zena na Apolo. # watu wetu Paulo alikuwa anawarejelea waumini wa Krete. # kujishughulisha wenyewe katika "washughulike kufanya" # mahitaji muhimu Haya ni mahitaji ya ambayo yalikuwa hayakupangwa na ya haraka ambayo yalikuwa hayajulikani hapo awali. # ili kwamba wasiweze kuwa wasiozaa matunda Paulo anaongelea watu ambao hufanya matendo mazuri kama mimea inayozaa matunda ya kula. "ili waweze kuzaa matunda" au "ili maisha yao yawe na maana."