sw_tn/tit/03/09.md

44 lines
759 B
Markdown

# Sentensi unganishi:
Paulo anaelezea kile Tito anapaswa kuepuka na kuwashughulikia wale ambao wanasababisha ubishi miongoni mwa waumini.
# Bali
"lakini wewe, Tito,"
# mijadala ya kipumbavu
"mabishano kuhusu mambo yasiyo ya muhimu"
# nasaba
mambo yanayohusu habari za uhusiano wa kifamilia au ukoo
# ugomvi/mashindano
"kugombana"
# sheria
"sheria za Musa"
# Kataa/kumkataa
"kujitenga" au "kutoingiliana na" au "msikae na" au "kuepuka"
# baada ya onyo moja au mawili
"baada ya kumuonya mtu huyo mara moja au mara mbili"
# mtu wa aina hiyo
"mtu kama huyo"
# ameiacha njia iliyo sahih
Paulo anamzungumzia mtu yule anayefanya makosa kana kwamba anaiacha njia ambayo amekuwa akiiendea.
# anajilaani mwenyewe
"analeta hukumu juu yake mwenyewe"