sw_tn/tit/02/15.md

16 lines
424 B
Markdown

# yaseme na kuyasisitiza mambo haya.
"Fundisha mambo haya na uwatie moyo wasikilizaji ili wayafanye mambo haya."
# Kemea kwa mamlaka yote
Maelezo haya yanaweza kuwekwa wazi kama: " Wakemea au wasahihishe kwa mamlaka yote watu wale ambao hawayafanyi mambo haya"
# Usikubali
"Usimruhusu mtu yeyote ku..."
# akupuuze
Neno hili linnaweza kuwekwa wazi kumaanisha: " Kataa kusikiliza maneno yako" au "kukataa kukuheshimu"