# yaseme na kuyasisitiza mambo haya. "Fundisha mambo haya na uwatie moyo wasikilizaji ili wayafanye mambo haya." # Kemea kwa mamlaka yote Maelezo haya yanaweza kuwekwa wazi kama: " Wakemea au wasahihishe kwa mamlaka yote watu wale ambao hawayafanyi mambo haya" # Usikubali "Usimruhusu mtu yeyote ku..." # akupuuze Neno hili linnaweza kuwekwa wazi kumaanisha: " Kataa kusikiliza maneno yako" au "kukataa kukuheshimu"