sw_tn/sng/08/09.md

12 lines
294 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Kaka zake mwanamke wanaendelea kuongea miongoni mwao.
# Kama ni ukuta ... mbao za mierezi
Kwasababu matiti yake ni madogo, ana kifua kitupu kama ukuta au mlango. Kaka zake wana amaua kumpa mapambo ili kumsaidia dada yao kuonekana mzuri zaidi.
# tutampamba
"tuta mremba"