# Maelezo ya Jumla Kaka zake mwanamke wanaendelea kuongea miongoni mwao. # Kama ni ukuta ... mbao za mierezi Kwasababu matiti yake ni madogo, ana kifua kitupu kama ukuta au mlango. Kaka zake wana amaua kumpa mapambo ili kumsaidia dada yao kuonekana mzuri zaidi. # tutampamba "tuta mremba"