sw_tn/sng/05/01.md

20 lines
560 B
Markdown

# Nimekuja
Ni dhahiri kuwa mpenzi wa mwanamke anazungumza.
# nimekuja katika bustani yangu
Mwanamme anaelezea mwanamke kama bustani. Usiku wa arusi, mwanamme anaweza kumfurahia mwanamke. Anaelezea hili kama kuja katika bustani yake.
# dada yangu
Mwanamme anamuita mwanamke dada kwasababu mpenda sana kama angempenda dada yake. "yeye ni mpendaye"
# Nimekusanya udi wangu ... na maziwa yangu
Mwanamme anatumia haya maumbo kutoka kwenye bustani kuhashiria kwamba ameweza kufurahia sehemu nyingi za mwanamke.
# manukato
mimea yenye harufu nzuri au ladha