# Nimekuja Ni dhahiri kuwa mpenzi wa mwanamke anazungumza. # nimekuja katika bustani yangu Mwanamme anaelezea mwanamke kama bustani. Usiku wa arusi, mwanamme anaweza kumfurahia mwanamke. Anaelezea hili kama kuja katika bustani yake. # dada yangu Mwanamme anamuita mwanamke dada kwasababu mpenda sana kama angempenda dada yake. "yeye ni mpendaye" # Nimekusanya udi wangu ... na maziwa yangu Mwanamme anatumia haya maumbo kutoka kwenye bustani kuhashiria kwamba ameweza kufurahia sehemu nyingi za mwanamke. # manukato mimea yenye harufu nzuri au ladha