sw_tn/sng/04/04.md

44 lines
953 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mpenzi anaendelea kumsifu mwanamke.
# Shingo yako ni kama
"shingo yako ni ndefu na nzuri kama"
# wa Daudi
"mbao Daudi alijenga"
# umejengwa kwa mistari ya mawe
Wanawake walikuwa na mikufu iliyo funika shingo zao kwa mistari ya mapambo. Mpenzi analinganisha hii mistari ya mapambo na mistari mistari ya mawe kwenye mnara.
# na ngao elfu moja
Mpenzi analinganisha mapambo ya mkufu wa mwanamke na ngao zinazo ni'ng'nia kwenye mnara.
# ngao elfu moja
"ngao 1,000."
# ngao zote za wanajeshi
"ngao zote za mashujaa hodari"
# kama swala wawili, mapacha wa ayala
Maziwa ya mwanamke ni mazuri, yamelingana na mepesi kama watoto wa wili wa swala aya wa ayala.
# mapacha
watoto wa mama aliye zaa watoto wawili kwa wakati mmoja
# ayala
Ona jinsi ulivyo tafsiri "ayala" 2:7
# wakila miongoni mwa nyinyoro
"kula mimea miongoni mwa nyinyoro." Mapacha wazuri wawili na mtoto ayala ni wazuri zaidi wakati nyinyoro imewazungukaa.