# Maelezo ya Jumla Mpenzi anaendelea kumsifu mwanamke. # Shingo yako ni kama "shingo yako ni ndefu na nzuri kama" # wa Daudi "mbao Daudi alijenga" # umejengwa kwa mistari ya mawe Wanawake walikuwa na mikufu iliyo funika shingo zao kwa mistari ya mapambo. Mpenzi analinganisha hii mistari ya mapambo na mistari mistari ya mawe kwenye mnara. # na ngao elfu moja Mpenzi analinganisha mapambo ya mkufu wa mwanamke na ngao zinazo ni'ng'nia kwenye mnara. # ngao elfu moja "ngao 1,000." # ngao zote za wanajeshi "ngao zote za mashujaa hodari" # kama swala wawili, mapacha wa ayala Maziwa ya mwanamke ni mazuri, yamelingana na mepesi kama watoto wa wili wa swala aya wa ayala. # mapacha watoto wa mama aliye zaa watoto wawili kwa wakati mmoja # ayala Ona jinsi ulivyo tafsiri "ayala" 2:7 # wakila miongoni mwa nyinyoro "kula mimea miongoni mwa nyinyoro." Mapacha wazuri wawili na mtoto ayala ni wazuri zaidi wakati nyinyoro imewazungukaa.